Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Katika juhudi za kupunguza maambukizi ya #CoronaVirus, nchi ya Ufilipino imeamua kuwaachia wafungwa karibia 10,000 ili kupunguza msongamano kwenye magereza
Awali Umoja wa Mataifa ulizitaka Serikali kuweka mikakati ya kuwalinda wafungwa na ulipendekeza wale wenye uwezekano mkubwa wa kupata maambukizi ya #CoronaVirus waachiliwe ili kupunguza kujaa kwa Magereza kupita kiasi
Mzee wa baraza katika Mahakama Kuu ya ufilipino, Marvic Leone amesema, wataendelea kuangalia namna zaidi ya kupunguza idadi ya wafungwa magerezani kwa kipindi hiki cha janga la #CoronaVirus
Kauli hiyo imekuja baada ya Human Rights Watch kutaka idadi ya wanaokufa magerezani kwa #CoronaVirus kutangazwa. Moja ya Gereza nchini humo liliripoti maambukizi 212 ya #COVID19 kwa wafungwa
Ripoti zinasema kuwa, magereza yamekuwa ni maeneo hatari sana kwa kuenea kwa #CoronaVirus kutoka na wingi wa wafungwa waliomo katika magereza hayo
=====
An associate justice on the Philippine Supreme Court, Marvic Leonen, said on Saturday that nearly 10,000 prison inmates had been freed as part of efforts to stem the spread of the coronavirus.
Of the 9,731 inmates freed between March 1 and April 29, more than 2,000 were released from prisons in Manila, he said. Most of the rest, about 4,600, had been held elsewhere in Luzon, the region that includes the capital.
“We continue as much as we can to decongest the jails,” Justice Leonen said during an online news briefing.
Th announcement came days after Human Rights Watch called on the government to fully report deaths in its prisons from Covid-19, after at least nine inmates and nine staff members tested positive for the coronavirus at Quezon City Jail in the Manila area, one of the country’s most crowded prisons.
The Cebu Provincial Detention and Rehabilitation Center in the central Philippines also reported one death from the coronavirus this week, while the Cebu City Jail reported 212 infections.
Across the world, prisons have become breeding grounds for the coronavirus, leading governments to release hundreds of thousands of inmates in an attempt to curb the spread of the contagion behind bars.
NEW YORK TIMES