Ufilipino: Vita ya Rais Rodrigo Duterte dhidi ya dawa za kulevya "imeshindwa vibaya"

Ufilipino: Vita ya Rais Rodrigo Duterte dhidi ya dawa za kulevya "imeshindwa vibaya"

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
5,500
Reaction score
8,060
Makamu wa rais wa Ufilipino ameitaja vita ya Rais wa taifa hilo, Rodrigo Duterte, dhidi ya dawa za kulevya kuwa imeshindwa.

Leni Robredo alisema ni asilimia 1 tu ya makadirio ya dawa za kusisimua zilizosambaa nchini humo aina ya 'Methamphetamine' almaarufu nchini Ufilipino kama "Shabu" zimekamatwa katika miaka mitatu iliyopita.

1578406821482.png

Marais na makamu wa rais huchaguliwa kiutofauti nchini Ufilipino, na kusababisha wagombea kutoka vyama vinavyokinzana kama Duterte na Robredo kushika nyadhifa katika uongozi wa juu wa nchi hiyo.

Kampeni ya Rais wa Ufilipino ndugu Rodrigo Duterte dhidi ya dawa "haramu" za kulevya imeshindwa kumaliza kabisa hatari hiyo na kuwapata wakuu wa dawa hizo, na inapaswa kufanyiwa mageuzi ili kuzuia damu zaidi kumwagika, makamu wa rais wa nchi hiyo alisema mnamo Jumatatu.

Makamu wa Rais Leni Robredo, anayeongoza upinzani, pia alitaka kusimamishwa kwa zoezi la polisi la ukaguzi wa nyumba kwa nyumba ambao umesababisha mauaji ya watuhumiwa wadogo wadogo wa dawa za kulevya.

Makamu huyo wa rais amekuwa akikosoa kwa muda mrefu juu ya operesheni hizo za Duterte na maoni yake ya hivi karibuni yanaweza kuzidisha mgawanyiko wa kisiasa kati ya viongozi hao wawili.

Marais na makamu wa rais huchaguliwa tofauti nchini Ufilipino, na kusababisha wagombea kutoka vyama vinavyokinzana kama Duterte na Robredo kushika madaraka katika uongozi wa juu wa nchi kunakosababisha mara nyingi mkinzano na kutokukubaliana na sera mbalimbali.


=====
Philippine President Rodrigo Duterte's campaign against illegal drugs has failed to substantially eradicate the menace and ensnare important drug lords, and should be reformed to prevent further bloodshed, the country's vice president said late on Monday.

Vice President Leni Robredo, who leads the opposition, also called for a stop to the police practice of home inspections that have led to the killings of petty drug suspects.

The vice president has been a longtime critic of Duterte's drug crackdown and her latest comments are likely to deepen the political divide between the two leaders.

Presidents and vice presidents are elected separately in the Philippines, resulting in candidates from rival parties like Duterte and Robredo ending up in the country's top leadership and often disagreeing on policies.

Robredo said only about 1 percent of the estimated supply of methamphetamine, a powerful banned stimulant known locally as "shabu", has been seized in the last three years.

Duterte launched the crackdown - his signature policy - when he took office in mid-2016.

"Very clearly, based on official data, despite the killings of Filipinos and all the money spent, the amount of shabu and drug money we've seized has not gone beyond 1 percent of those in circulation," Robredo said at a news conference.

"If we really want to end the scourge of illegal drugs, we need to run after the big suppliers and not just the small-time pushers," she added, saying that the campaign would not succeed unless it was reformed to be more strategic, better organised and closely supervised in all aspects by the president.

Mounting death toll
In December, the Philippine National Police and the Philippine Drug Enforcement Agency (PDEA) announced that an estimated 5,552 people had been killed during government operations between July 1, 2016, and November 30, 2019.

But authorities had already released data in June 2019 saying that the death toll was 6,600 as of May 2019, raising questions about the government's handling of the data.

Human rights advocates argue the number of deaths reached at least 27,000 as of June 2019.

The Philippine vice president's latest remarks were largely based on information gathered during a brief stint in a government anti-drugs committee, which Duterte asked her to help lead last year after her constant criticisms of his bloody crackdown.

Robredo surprised many by accepting the offer, but Duterte fired her after 18 days after she started seeking confidential information about the campaign.

Presidential spokesman Salvador Panelo dismissed Robredo's statements, saying Duterte's campaign had succeeded in closing many drug laboratories and forcing the surrender of a large number of drug suspects.

Big-time drug lords have also been neutralised, Panelo said, although he failed to immediately provide a list of names.

"If you noticed, when she was threatening to release this report, she implied that there were some irregularities discovered, a bomb that would explode on your face. It's a dud," Panelo told reporters.

Robredo, a 54-year-old former human rights lawyer and political newcomer, has openly criticised the campaign against illegal drugs launched by Duterte, a longtime city mayor and state prosecutor known for his extra-tough approach on crime and brash speaking style.

She said she accepted Duterte's offer to help oversee the crackdown despite warnings by her advisers and allies so that she could help save lives.

One of her first moves was to request confidential documents from law enforcers, including a list of key drug suspects singled out under Duterte's campaign.

Duterte warned Robredo about sharing confidential information about the anti-drug campaign with his foreign critics, including human rights advocates.

At least two complaints about mass murder have been filed before the International Criminal Court over the deaths, but Duterte and the police have denied condoning extrajudicial killings under the crackdown.

Duterte has warned that his bloody campaign will continue up to the last day of his presidency in June 2022.


Sources: Al Jazeera and News Agencies
 
Aisee Jamaa alikuwa anachinja tena SAA Nyingine kwa Uonevu

Kuna rafiki yangu wa Kanisa la Inegresia de Kristo alinitembelea Urusi alafu ikawa zamu yangu kwenda kwa KABAYAN niliogopa nisidanganye wao asia wanasakizia sana waafrika
 
huyu raisi wa Ufilipino ana ushirika mkubwa na familia ya aliyekuwa dictator wa nchi hiyo Fedinard Marcos hadi alikuwa akimuunga mkono mwanae ili awe makamu raisi wake.
Marcos aliyeitawala Ufilipino kidictator anatuumiwa kuiba ma million ya dollar nchi hiyo kabla ya mapinduzi yaliyo sababisha yeye na familia yake wakimbilie Marekani ambapo alikaa na kufia huko.
Familia yak ilirejea Ufilipino na mkewe ni mbunge huku mwanae kuna uwezekano akaja kuwa raisi wa baadae.
Enzi za utawala ma Marcos mkewe alikuwa na jozi za viatu vya thamani 1500, na alikuwa ana matumizi makubwa sana tofauti na kipato cha mmewe ambacho kilikuwa USD 120,000 kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom