UFIPA yakumbwa na aibu Nyankumbu -Geita

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Your browser is not able to display this video.

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
View attachment 3589924
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Sasa mkuu, mbona watu ni wengi tu hapo wamekaa kwenye vivuli vya miti? Au hauwaoni?

Alafu kingine, kama kweli ingekuwa hao ni ufipa isingekosekana bendera zao za kutosha hapo.

Cha mwisho, tungeona magari lukuki hapo.

Hivyo tuna conclude kwa kusema hiyo video yako haiko genuine.
 
Hiyo ni kama ile microphone test.😊😊😊
mrusha drone alikuwa anatest drone yake. Hapo ni mchana wa jua kali.

Mkutano ulifanyika jion.
Ngoja watatuma video ya mkutano.
okey sawa gentleman,

tutaona jioni ya jua soft
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…