UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Ni vigumu sana kutenganisha chadema na unafikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ililetwa zamani sana hii, haina mashiko.
Kama umechukia omba mods waiunge na hiyo ambayo umesema ipo iliyoletwa zamani.

Mimi sifanyi haya kwasababu ninalipwa au Labda Nina bifu na mtu! Naaw! I just love my country. Hapa ulichotakiwa kusema, ni hatua iliyowahi kuchukuliwa, na siyo eti “ililetwa zamani”!

Kwani aliyefukuwa makaburi ni mimi? Ama ni mualiko wa RA ikulu na baadaye Lowassa?

Narudia tena kama nilivyokwambia kwenye ile thread ya Bank M. Wewe ni mmojawapo wa wale waliolifukarisha hili Taifa! Religious bias and all that crap! You are handicapped in some ways! And I’m talking mentally!

I rest my case.
 
Alifungua mahakama ya mafisadi hajafunga hata mmoja
Something needs to be done
Kuna mtu anasema ya zamani... udini utakuumiza
Usitugawanye WaTz kwa udini wako ....huyu ni wa kupuuzwa kama sikio la PUNDA

HATA KAMA YA ZAMANI So what?! Tuna haki ya kujua pesa za walipa kodi zinaenda wapi
Acha tufukuliwe makaburi maybe one day this idiots thieves will be apprehended..
Enough is enough
 
Mtandao wa mafisadi hapa nchini ni moja kati ya vyombo vya CCM visivyo rasmi, tangu enzi za Mwinyi umekuwa ukitumika kukinufaisha chama kwa gharama ya maisha ya watanzania. Wengine wenye akili ya kung'amua mambo walishatambua mapema kwamba hizi hekaya za kupambana na ufisadi ni geresha za muda na mbio za sakafuni.
 

Tazama tarehe ya ulipoitoa hiyo kopi. Ni lini?

Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
Before 2015 ; nakumbuka sana hii kashfa ya vocha feki za jero jero..
 
nilidhsni imetokea muda Jiwe ni Rais, huoni unaturudisha nyuma 2012, ulitaka jiwe afanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…