Ufisadi awamu ya JPM: Uwanja wa ndege Mwanza ulijengwa kwa bajeti ambayo haikupita Bungeni, mabilioni yachotwa

Ufisadi awamu ya JPM: Uwanja wa ndege Mwanza ulijengwa kwa bajeti ambayo haikupita Bungeni, mabilioni yachotwa

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
 
Ni afadhali kiwanja kinaonekana. Awamu hii mikopo miingi na hatujui inapoingia
 
Uwanja Upo au Haupo tuanzie hapo?
2nd una Clear evidences which can be proved on the court of Law without reasonable doubts kua yy ndo alizochota?
 
Huyu aliiba akajenga hawa wanaiba hela za kujengea na kupeleka kusikojulikana
 
Uwanja Upo au Haupo tuanzie hapo?
Uwanja wa ndege hauna choo, umejengwa kama Kibanda umiza au pagala la kuangalizia mechi uswahili, alilipamba kwa vioo tu
 
Back
Top Bottom