Patamu,
What goes around comes around! I just don't know who will be spared. Shida ni kuwa hakutakuwa na mtu wa kumchunguza mwenzaki.
Hili ni kama Tatizo la kughushi vyeti vya shule. Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kama si wewe uliyeibua soo la ku-forge basi ni mkeo, ndugu yako, nyumba ndogo au mshikaji. Mbali ya hayo kuna wale uliowasaidia kwa namna moja au nyingine kughushi. Sasa nani atamchunguza mwenzake? Hata hili la ufisadi nchini sina hakika litaishia wapi. Labda kama tuna mpango wa kutumia Scotland Yard na mwisho kuwapeleka watuhumiwa The Hague!!