Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 699
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar amesimamishwa uongozi wa ukurugenzi kwa tuhuma zenye harufu ya kifisadi na kutowajali waalimu wanaofundisha kiswahili katika taasisi hiyo. Jamani viongozi tuwajali wafanyakazi wetuuu!!!!