Ufisadi hauwezi kuisha sababu mkuu wa nchi ana 'double standard'. January Makamba alipiga dili la Mahindira Tech hakung'aka

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi.

Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka.

Hii ni double standard
👇
20230917_093059.jpg
 
👇View attachment 2751971
Hivi hawa wahindi ndio wale wa kuboresha miundombinu sijui kukitokea short wanajua exactly what happened?

Hii nchi ni mm ndio najihisi nakosa konection jaman sasa pesa zote hizo watu wanakula peke yao jamani
 
Mkuu wa nchi yupo kimya tu
 
[emoji116]View attachment 2751971
Na yeye si yupo kwenye kundi lao la Msoga.Ufisadi kwa kwenda mbele!
 
Kuleni lakini msivinbiwe! ...Dawa ya kuzuia kuvimbiwa,ukishashiba kupitiliza ,tafuna ndimu!
 
Hivi hawa wahindi ndio wale wa kuboresha miundombinu sijui kukitokea short wanajua exactly what happened?

Hii nchi ni mm ndio najihisi nakosa konection jaman sasa pesa zote hizo watu wanakula peke yao jamani
Na watu walipiga sana kelele ndo lakin bi mkubwa akakaza msuli wa paja pamoja na jungila vain
 
Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi.

Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka.

Hii ni double standard
👇View attachment 2751971
Mkuu wa Nchi naye lipigaji lichafu kabisa! Hadi sasa hajatuambia chochote kuhusu bandari zetu na rushwa alizoratibu kwa kuruhusu mwarabu agawe fedha kwa wote hasa tulia akapewa 2.5m USD. Yule waziri aliyenunua apartment mikocheni tunaye na tunamfuatilia.
Kuongozwa na majizi kazi sana! Hivi wamasai wanavyoswagwa kama wanyama kapokea ngapi huyu macho mlegezo!? I hate corruption! Kweli wanatuona nyani tuh!

1694939373733.png
 
Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi.

Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka.

Hii ni double standard
👇View attachment 2751971
Always simchukii Samia kweny mamb haya kwasababu.... Tatizo ni mfumo huo ndio unawabeba wezi na mafisadi!! Tatizo ni mfumo wa CCM tatizo ni mfumo wa CCM tatizo ni mfumo wa CCM!! Hata akipatikana Rais mwenye uchungu na haya yanayoendelea hatoweza fanikiwa kwa miaka ya utawala wake. Cha kwanza ni kufumuliwa kwa mfumo wote au kuondoshwa kbs, Taifa lianze upya!!
 
Ni ulafi na umimi ndo vinawasumbua wanadamu.
Huwezi ishi milele
Huwezi tengeneza paradiso yako duniani
Unaishi kwa mwili huu wa nyama uliojaa kila aina ya uchafu
Unakula kipi cha ajabu tusichokula wanadamu wenzio
Wapendwa tumwogope Mungu sana tunaishi na kuishia
MUNGU MKUBWA

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom