Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hivi hawa wahindi ndio wale wa kuboresha miundombinu sijui kukitokea short wanajua exactly what happened?Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi.
Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka.
Hii ni double standard
πView attachment 2751971
Mkuu wa nchi yupo kimya tuHivi hawa wahindi ndio wale wa kuboresha miundombinu sijui kukitokea short wanajua exactly what happened?
Hii nchi ni mm ndio najihisi nakosa konection jaman sasa pesa zote hizo watu wanakula peke yao jamani
Na yeye si yupo kwenye kundi lao la Msoga.Ufisadi kwa kwenda mbele!Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi.
Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka.
Hii ni double standard
[emoji116]View attachment 2751971
Na watu walipiga sana kelele ndo lakin bi mkubwa akakaza msuli wa paja pamoja na jungila vainHivi hawa wahindi ndio wale wa kuboresha miundombinu sijui kukitokea short wanajua exactly what happened?
Hii nchi ni mm ndio najihisi nakosa konection jaman sasa pesa zote hizo watu wanakula peke yao jamani
Sisi tumeambiwa tudumishe amani ,huko wakubwa wakiifisadi hii nchiNchi ya kisenge sana hii.
Viongozi wameshaona sisi ni MABOLIZOZO, wanatufanya watakavyo, kisha wanaongea unafiki.
Amani yenye mateso kwa wengi si amani.Sisi tumeambiwa tudumishe amani ,huko wakubwa wakiifisadi hii nchi
Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi.
Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka.
Hii ni double standard
[emoji116]View attachment 2751971
Mkuu wa Nchi naye lipigaji lichafu kabisa! Hadi sasa hajatuambia chochote kuhusu bandari zetu na rushwa alizoratibu kwa kuruhusu mwarabu agawe fedha kwa wote hasa tulia akapewa 2.5m USD. Yule waziri aliyenunua apartment mikocheni tunaye na tunamfuatilia.Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi.
Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka.
Hii ni double standard
πView attachment 2751971
Mkuu, tusiishie tu hapo, tuchukue hatua kuilinda nchi yetu na mali zake.Duh! kwa hakika inashangaza
Always simchukii Samia kweny mamb haya kwasababu.... Tatizo ni mfumo huo ndio unawabeba wezi na mafisadi!! Tatizo ni mfumo wa CCM tatizo ni mfumo wa CCM tatizo ni mfumo wa CCM!! Hata akipatikana Rais mwenye uchungu na haya yanayoendelea hatoweza fanikiwa kwa miaka ya utawala wake. Cha kwanza ni kufumuliwa kwa mfumo wote au kuondoshwa kbs, Taifa lianze upya!!Mahindira Tech walikula Bil 71 za bure kwa madai eti ufanisi wa Tanesco utaongezwa . Leo hii January yupo tu kama mteule wa rais. Hatuoni ufanisi wa Tanesco zaidi ya Mgao wa umeme kuzidi.
Watumishi wa Halimashauri wakipiga dili Mkuu wa nchi anag'aka.
Hii ni double standard
πView attachment 2751971