hivi maendeleo ya simba yatapatika kwa kuifunga yanga, tuliwafunga zaidi ya miaka 7..tulifaidika na nini?, na kwambia kama angekuwa yule mwekiti aliepita hizo usd 100000 tusingeambulia kitu, sasa hivi angalau kuna kila dalali za ujenzi wa uwanja, kwenye jengo letu angalau unaweza kusubutu kumpeleka mtu lilisha geuka gofu yaani hata kupaka rangi na umeme zili washinda..kiongozi makini hapimwi kwa matokeo ya uwanjani tu, hiyo ni kazi ya benchi l ufundi kama timu ingekosa pesa za kambi hapo tungeml