Kwa kweli kelele za wana CCM kufisadiwa katika kura za maoni na wana CCM wenzao kuchukuliwe kwa tahadhari kwani wengi wanaolalamika wanajua chama kimezoea kufanya nini ili kupata unaoitwa "ushindi wa kishindo" wakitoka huko mbinu hizohizo zinaweza kutumika endapo zitaruhusiwa. Rai kambi ya upinzani fuatilieni kwa makini mchakato huu siyo tu kuangalia nani amedhurumiwa bali pia amedhurumiwa kivipi kwani mbinu hizohizo za kifasadi kwao zitaletwa na katika uchaguzi mkuu. Ziundwe timu za wataalamu kuratibu zoezi hilo na ikibidi kuja kuwahoji vilivyo wale wataofisadiwa ni muhimu sana.