ni mwezi mmoja umetimia tangu chuo kikuu cha udom kifunguliwe na wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza college of informatics and virtual education hawajapewa hela za matumizi, wizi huu mkubwa unafanywa na wakuu wa college, maofisa mikopo, na makarani wa hapo chuoni, chuoni wanawake wanashinda mjini wakijiuza, pia mlo unaliwa mara moja tuu kwa siku.taarifa nilizozipata ni kwamba fedha za wanufunzi hao zimewekwa kwenye fixed account ili kuwanufaisha mafisadi hapo chuoni.kifupi hali inatisha sana hapa udom.
... Nyie madogo mnakurupuka sana, hamjui nani adui nani rafiki! Hivi Deans na Principal ni wajinga kiasi gani mpaka wale hela zenu na wawaache bila boom kwa muda wote huu? Wao wanapenda mgome? Huu ni utoto kabisa!Ni mwezi mmoja umetimia tangu chuo kikuu cha Udom kifunguliwe na wanafunzi wote wa mwaka wa kwanza college of informatics and virtual education hawajapewa hela za matumizi, WIZI huu mkubwa unafanywa na WAKUU WA COLLEGE, MAOFISA MIKOPO, NA MAKARANI WA HAPO CHUONI, chuoni wanawake wanashinda mjini wakijiuza, pia mlo unaliwa mara moja tuu kwa siku.Taarifa nilizozipata ni kwamba FEDHA ZA WANUFUNZI HAO ZIMEWEKWA KWENYE FIXED ACCOUNT ILI KUWANUFAISHA MAFISADI HAPO CHUONI.Kifupi hali inatisha sana hapa udom.
... Nyie madogo mnakurupuka sana, hamjui nani adui nani rafiki! Hivi Deans na Principal ni wajinga kiasi gani mpaka wale hela zenu na wawaache bila boom kwa muda wote huu? Wao wanapenda mgome? Huu ni utoto kabisa!
dah mbona boom limetoka wiki ya 2 sasa?
Kama ni kueka hela fixed acount why wachague first year tena infomatics wakati mpo wachache kiasi cha kwamba hata mishahara ya hao viongozi wa chuo ni mikubwa kuliko jumla ya mikopo yenu?
Hebu tutajie idadi yenu wana jf waone uzito wa madai yako na sio kueneza uzushi
Kama ni fixed acount wangeeka hela za social, humanity na education zenye watu zaidi ya asilimia 95 ya chuo
hujatoa hoja yoyote zaidi ya kuzunguka mbuyu, ukwel ni kwamba first year wote wa informatics na natural science hawajapewa mikopo yao, ilhal pesa zilishapelekwa chuoni na bodi mwezi na zaidi, huo ndio ukweli halisi.KAMA HUNA HOJA YA MSINGI NI BORA UPIGE KIMYA KULIKO KUTULETEA UPUUZI WAKO HAPA.
Umemsikia huyo dada? Mpo wachache hebu tumia akili upo chuo wewe mi nipo social wewe upo informatics lakini kichwa kama nazi bwana
Lets say mpo 200 kila mwanafunz laki 4 na nusu hii itakua shilingi milion 90
Milion 90 ukieka fixed account ina riba kiasi gani? Lets say riba 10 percent so itakua faida milion 9
Haya hio milion 9 wapo wengi kuna viongozi wa chuo na bodi umesema wanakula pamoja watagawana vipi?
yani watu wanatembelea magari ya mamilioni waje waibe hela hio? We upo chuo hebu fikiria acha fikra potofu na ukiongea mambo ongea kwa fact kijana la sivyo utakua hivo hivo
nadhani wewe una mapungufu makubwa sana katika ubongo wako, badala ya kujibu hoja unaleta calculations zenye error lukuki, jaribu kukaa darasani uelimike angalau 2%.
huyu dogo mwngo mimi binafsi najua tatizo la wao kutopewa huo mkopo bt cwezi kuingilia mambo ya watu...mlacha na JK WAMEOA NYUMBA MOJA...hakuna wa kumzingua kama ufikiliavyo.,..wewe vumilia angalia maisha ya kwenu.... UDOM serikali inajua kila ki2 kinachoendlea lakini wamekaa kmya...kama mnaweza gomen tu..,kusema Jf ni marudio tu....