Ufisadi Mkuranga upandaji madaraja

Ufisadi Mkuranga upandaji madaraja

mikagati

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
320
Reaction score
70
Mamlaka husika katika uwekaji wa kumbukumbu za watumishi zake hasa upandaji wa vyeo/madaraja ni wa ovyo na tuna mashaka na watendaji wake kama kweli wanazingatia taratibu husika kwa mtumishi anayestahili kupandishwa cheo. Ni harufu tu ya ngono kwa jinsia ke na rushwa ya pesa kwa jinsia me. Tuamke na janga hili pia kujuana ni kwingi sana upande wa elimu sekondari pia uangaliwe sana sana afisa elimu taaluma huyo mwanamama, tuamke watumishi.

Nakaribisha mawazo chanya
 
Back
Top Bottom