Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Serikali imetangaza kuuza mradi wa ujenzi wa Dege, Kigamboni uliokuwa chini ya NSSF kutokana na kushindwa kuuendeleza.
Ujenzi wa mradi huo ulianza 2014 na Mwaka 2016 Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli iliusimamisha baada ya kubaini kuwa kuna ufisadi mkubwa.
Cha kushangaza CCM na Serikali yake badala ya Kuwakamata na Kuwashtaki wale wote walioufanya huo ufisadi wapo kimya kama vile hakukuwa na ufisadi wowote.
Fedha ziliibiwa ni michango ya maskini wafanyakazi wenye Mishahara midogo.
Tunaishauri Serikali iwachukulie hatua za kisheria wale wote waliohusika na ufisadi huo wa bil 179, ni aibu kwa CCM na serikali.