YUDITHA
Senior Member
- May 5, 2013
- 154
- 28
hata kama tukawa na katiba nzuri kama bibilia na kurani . tukawa na sera na mipango mizuri ya kimaendeleo ni kazi bure kama katiba isiposema wale wote watakao dhibitishwa na vyombo husika vya dola wanyongwe hadharani. halikadhalika waingizaji wa madawa ya kulevya na mabosi wao