Ufisadi ndani ya CCM.

Ufisadi ndani ya CCM.

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592
Tafiti zimeonyesha kuwa kati ya wanachama wanne wa CCM, moja ni FISADI. Sasa kama wewe in mwana CCM na una marafiki zako watatu ambao pia ni CCM, ikiwa una imani kuwa hao rafiki zako si MAFISADI - basi ujue wazi kuwa wewe ndiye FISADI kati yao.
 
I bet hata hii (kama ilivyokuwa kwa Beki 3 joke topic) si nzuri na ni ya kidhalilishaji. Mnashaurije ifungwe?
 
Back
Top Bottom