Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,413 Reaction score 23,592 Nov 13, 2008 #1 Tafiti zimeonyesha kuwa kati ya wanachama wanne wa CCM, moja ni FISADI. Sasa kama wewe in mwana CCM na una marafiki zako watatu ambao pia ni CCM, ikiwa una imani kuwa hao rafiki zako si MAFISADI - basi ujue wazi kuwa wewe ndiye FISADI kati yao.
Tafiti zimeonyesha kuwa kati ya wanachama wanne wa CCM, moja ni FISADI. Sasa kama wewe in mwana CCM na una marafiki zako watatu ambao pia ni CCM, ikiwa una imani kuwa hao rafiki zako si MAFISADI - basi ujue wazi kuwa wewe ndiye FISADI kati yao.
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Nov 13, 2008 #2 I bet hata hii (kama ilivyokuwa kwa Beki 3 joke topic) si nzuri na ni ya kidhalilishaji. Mnashaurije ifungwe?
I bet hata hii (kama ilivyokuwa kwa Beki 3 joke topic) si nzuri na ni ya kidhalilishaji. Mnashaurije ifungwe?