Shule hii kongwe iliyoko mkoani Kilimanjaro sasa imechukua mwelekeo ya kifisadi.
Wanaendesha harambe ya kukusanya pesa kwa ajili ya ujenzi wa uzio ambapo kila mwanafunzi anatakiwa kuchangia Tsh.100,000/=.
wANACHANGISHA KILA MWANANFUNZI tSH 20,000/= kwa ajili ya kugawana walimu/watumishi wa shule hiyo kwa kile uongozi unachoiita "motisha".
Kwa shule hii inayomilikiwa na serikali,jukumu la kujenga uzio/fence linakuwaje la wanafunzi? Walimu/watumishi walioajiriwa na Serikali inakuwaje wachangiwe na wanafunzi/wazazi kupewa motisha?
Ufuati;iaji/uhakiki wa matumizi ya mkichango yote hii uko mikononi mwa nani?