UFISADI TFF: Bil 1.1 zachotwa ndani ya wiki 1, PCCB washikwa na kigugumizi kumpeleka Malinzi Kortini

TAKUKURU Ni wachochea rushwa. Umekumbusha kitu cha muhimu sana aisee
 
Anajiandaa kurudi tena kuwa rais wa mpira nchini, hiyo mipesa aliyoichota ndio itatumika kumrudisha madarakani yeye na Mwesiga.
 
Zamani sana nilikuwa nashanga kwa nini wakati wa uchaguzi inakuwa vita.si mpira tuuuu au wanagombania ili wawe wanaingia bure kwenye mechi
 
Noted
 

YAMETIMIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…