UFISADI: The Making Of IPTL

Ujuha wako peleka kwingine si hapa. Mzalendo kamwe hawezi kuandika ujinga kama huu baada ya wizi mkubwa wa pesa za walipa kodi.

Escrow ni account ya mgogoro kati ya wanahisa, mgogoro umeisha, escrow inafungwa!, that was it!. Wengi wanadhani account ile ni ya serikali!, no!, na fedha zile pia sio za serikali ni za IPTL ambayo imelipwa malipo halali na Tanesco kwa mujibu wa Mkataba wao!.


 
Hawa wezi lazima walipuliwe... Police waache kuwalipua mabomu Wamachinga! Wanatakiwa wa deal na hawa MAJAMBAZI...
 
Wajameni kama hii ndio the real situation ya Tanesco kudaiwa na SCB-HK, kiukweli deni hili halituhusu! . IPTL ilikopeshwa na Mechima ya Malaysia ambayo nayo ilikopeshwa na benki za Sime na Bumiputra za Malaysia ambazo zimeisha filisiwa na deni hilo likakabidhiwa kwa kampuni hodhi ya Danahatra ya Malaysia, ambapo hapo ndipo SCBHK iliponunua deni hilo kule nchini Malaysia, lakini mali za IPTL zilizoko Tanzania zikauzwa kwa PAP.

Wakati PAP akiinunua IPTL, alinunua assets tuu na sio liabilities za madeni kwa sababu madeni yote ya benki za Sima na Bumiputra zilizoikopesha Mechima yaliishakabidhiwa kwa kampuni hodhi ya Danaharta ambayo ndio ililiuza kwa SCBHK. Hivyo alichouziwa SCBHK ni deni hewa. Alichouziwa PAP ni mali za IPTL bila deni.

SCBHK aende akadai fedha zake kule Danaharta alikouziwa deni hewa. IPTL haihusiki, PAP haihusiki na Tanesco inahusika vipi? .
Pasco
 
Mkuu Invisible, hongera sana!, hili jambo la IPTL ulianza nalo mezi April, mwaka 2006!, leo miaka 11 baadaye ndio linawiva na kuonyesha dalili ya kuzaa matunda!.

Hongereni wote mliofanya juhudi hizi.

Paskali
 
Patrick rutakabanzima ndo country chairman a wa hawa pan African energy eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…