K KWETU PAZURI Senior Member Joined Oct 14, 2011 Posts 157 Reaction score 26 Jan 1, 2012 #1 Nyaraka zinaonyesha bodi ya mikopo ilikabidhi fedha za wanafunzi kwa chuo tarehe 16/12/2011, lakini hadi leo hii wanafunzi hawajapewa fedha zao
Nyaraka zinaonyesha bodi ya mikopo ilikabidhi fedha za wanafunzi kwa chuo tarehe 16/12/2011, lakini hadi leo hii wanafunzi hawajapewa fedha zao
bushman JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,412 Reaction score 747 Jan 3, 2012 #2 sio kweli nyalaka haziji na pesa,ndio maana zinatangulia nyaraka mnasaini then zinapelekwa bank na cheki kwa ajili ya kuanza kulipa,mmechoka kusoma na test zimebana mnatafuta sababu
sio kweli nyalaka haziji na pesa,ndio maana zinatangulia nyaraka mnasaini then zinapelekwa bank na cheki kwa ajili ya kuanza kulipa,mmechoka kusoma na test zimebana mnatafuta sababu