Ufisadi ujao? CAG aongezewe nguvu ya kuzuia matobo

Ufisadi ujao? CAG aongezewe nguvu ya kuzuia matobo

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Jana bungeni Mbunge wa Kisesa Ndg Mpina alisema, serikali imetumia pesa nyingi nje ya bajeti akaongelea malipo ya Symbion zaidi ya Dollar 350,000

Mwigulu akamjibu kuwa serikali ilitumia 86,000,000,000/ kutoa mikopo kwa wanafunzi 29,000 ambao hawakuwa na mikopo ya chuo kikuu.

Serikali ilitoa 160,000,000,000/ ili kujenga madarasa 8000 ili wanafunzi wasikose shule.

BoT inampango wa kuprint pesa mpya ambazo zitakuwa na sahihi ya Mwigulu na Emanuel, PPRA yaitisha tender upya baada ya kuona shida kwenye hizo pesa mpya zaidi ya Bilioni 800.

Awamu ya 7 itatuonesha uovu wa Awamu ya 6.

CAG aongezewe nguvu ya kuzuia matobo.
 
Jana bungeni Mbunge wa Kisesa Ndg Mpina alisema, serikali imetumia pesa nyingi nje ya bajeti
Akaongelea malipo ya Symbion zaidi ya Dollar 350,000

Mwigulu akamjibu kuwa

Serikali ilitumia 86,000,000,000/ kutoa mikopo kwa wanafunzi 29,000 ambao hawakuwa na mikopo ya chuo kikuu

Serikali ilitoa 160,000,000,000/ ili kujenga madarasa 8000 ili wanafunzi wasikose shule.

BOT inampango wa kuprint pesa mpya ambazo zitakuwa na sahihi ya Mwigulu na Emanuel, PPRA yaitisha tender upya baada ya kuona shida kwenye hizo pesa mpya zaidi ya Bilioni 800


Awamu ya 7 itatuonesha uovu wa Awamu ya 6

CAG aongezewe nguvu ya kuzuia matobo
Yaleyale ya

1675321531439.png
 

Attachments

  • 1675321531542.png
    1675321531542.png
    17.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom