Jana bungeni Mbunge wa Kisesa Ndg Mpina alisema, serikali imetumia pesa nyingi nje ya bajeti
Akaongelea malipo ya Symbion zaidi ya Dollar 350,000
Mwigulu akamjibu kuwa
Serikali ilitumia 86,000,000,000/ kutoa mikopo kwa wanafunzi 29,000 ambao hawakuwa na mikopo ya chuo kikuu
Serikali ilitoa 160,000,000,000/ ili kujenga madarasa 8000 ili wanafunzi wasikose shule.
BOT inampango wa kuprint pesa mpya ambazo zitakuwa na sahihi ya Mwigulu na Emanuel, PPRA yaitisha tender upya baada ya kuona shida kwenye hizo pesa mpya zaidi ya Bilioni 800
Awamu ya 7 itatuonesha uovu wa Awamu ya 6
CAG aongezewe nguvu ya kuzuia matobo