Uchaguzi 2020 Ufisadi uliobuliwa na CAG umeiondolea sifa (credibility) Serikali ya awamu ya 5. Wapinzani sasa mshindwe wenyewe!

ha ha naomba vijana wa Lumumba walete uchambuzi wao hapa manake wamekazana kweli hujui kuchambua report kama vile report ya CAG ni philosophical book wakati ni plain report tu. Mtu yoyote anaye jua kusoma anaweza kuelewa.
 
Na kweli Wapinzani gaweni kwa wingi kopi za kitabu cha CAG kwa Wananchi kuanika Ufisadi wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijawahi kuwa na credibility hata tone.
 
Huwa naumia sana ninaposikia afisa wa TAKUKURU anatuhumiwa kwa RUSHWA. Kwasababu rushwa ni adui wa haki, sasa kama aliyepewa dhamana ya kupambana na RUSHWA nae amegeuka kuwa muombaji, hilo tatizo kubwa sana.

Iko hivi, serikali mpya sawa, watendaji walewale, mtendaji anaiibia serikali, anabainika, TAKUKURU wanachunguza, mtendaji anatoa RUSHWA kwa TAKUKURU mambo yanazimwa anarudi kazini anahamishwa kituo cha kazi, maisha yanaendelea.

TAKUKURU wakifanya kazi kwa mujibu wa sheria kikamilifu, ninaimani mambo yataenda, kama mishahara yao ni midogo waboresheeni ili wasiwe na tamaa.
 
Sifa (credibility) sio kigezo cha kuchagua viongozi Tanzania
 
M
Magu mafisadi kawashindwa
 
Kuchambua ripoti tu ya CAG umeshindwa tutawezaje kuongelea ufisadi wakati umeshindwa kuchambua hiyo ripoti badala yake umetoa mapovu tuuu!
Tuchambulie wewe ili nasi tuliona povu liko wapi. Usiseme tu jamaa kashindwa kutafsiri bila kutuchambulia
 
Reactions: UCD
Wito wangu kwa kambi ya upinzani - mnahitaji kuya-compile haya madhaifu yote and you should make the most of it NOW - not tomorrow!
Safi sana kwa uchambuzi sasa ni matumaini yangu kuwa Mnyika amesoma mikakati ianze mara moja
 
Tukiweka kando ukabila na udini uliotangazwa na gwajima ni nani kati ya wafuatao anaweza kupigia kura ccm?!?!.......zingatia zile factors...(economic, social and political factors)......
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi

Wamachinga ( hawa wafanyabiashara aliowaruhusu kuzagaa mijini bila taratibu) mradi awe na kitambulisho cha elfu 20 tu labda ndio wanaweza kumpigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…