Uchaguzi 2020 Ufisadi uliobuliwa na CAG umeiondolea sifa (credibility) Serikali ya awamu ya 5. Wapinzani sasa mshindwe wenyewe!

Ndoto za kula burger ukiwa umelala usingizi wa pono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: UCD
udhaifu mwingine wa awamu hii ni kukosa huruma kwa wananchi wake.

imagine katikati ya janga la korona nchi zingine zinatenga bajeti kuwasaidia wananchi wake lakini serekali yetu imeweka bango la kuomba pesa eti yenyewe ndiyo isaidiwe.

huu ni unyama uliopitiliza ambapo viongozi wa dini walipaswa kuukaripia kwa nguvu zote!
 
Acha kupenda vya bure fanyakazi. Siku hizi hata wanawake wanachakarika mkuu!
 
Acha kupenda vya bure fanyakazi. Siku hizi hata wanawake wanachakarika mkuu!
yeah right.... kwa vile serekali ya US iliyotoa 10% ya GDP yake kama stimulus package kwa wananchi wake ni kwa sababu wananchi hao ni wavivu na hawachapi kazi.

ridiculous!!
 
yeah right.... kwa vile serekali ya US iliyotoa 10% ya GDP yake kama stimulus package kwa wananchi wake ni kwa sababu wananchi hao ni wavivu na hawachapi kazi.

ridiculous!!
Hii ni Tanzania siyo US mkuu!
 
Unajua kuchambua reports ya CAG au umekurupuka tu?

Sijui nchi hii tumerogwa na nani. Hivi ujinga wa namna hii mtu anakuondoleje? Kuna uchambuzi gani unahitajika kama CAG anasema mpk kiasi cha pesa kilichotumika bila kufuata taratibu za manunuzi.

Tabia ya kujifanya au kumwona mtu hawezi kufanya maamuzi yake baada ya kusikia yaliyosema, yanakufanya uwe mtumwa wa watu. Wewe unamsubiri nani akuchambulie?? Na je utakubaliana na uchambuzi wake. Bure kabisa!!
 
Nashindwa hata jinsi ya kukujibu maana kukueleza jinsi reports ya Mdhibiti na mkaguzi mkuu inavyoandalia sawa sawa kuanzisha UZI ndani ya UZI mwingine.

Una idea au una taaluma ya kiuhasibu mkuu?
 
Kwahiyo kunahitajika Elimu ya Chuo kikuu kuçhambuà pale unapoambiwa Fulani ni mwizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana uhitaji isipokuwa sio kila kilichopo kwenye reports ya CAG basi kimetokea(ufisadi) mkuu.

Unakumbuka reports ya CAG aliyepita ili trends sana kuhusiana na 1.5 trillion?
 
Jibu hoja mambo ya 2015 yamepita..

#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…