Ufisadi Uliokithiri Tume ya Madini (Kitengo cha Leseni): Jinsi Watumishi Walivyowageuza Wananchi "Wavumbuzi wa Bure"

Huwa nashangaa sana wananchi satavumbua wenyewe madini lakini anajitokeza mhuni tu kukata leseni na kuwafukuza wenyeji waliovumbua madini.awamu ya sita imeoza kila sekta.Hakuna unafuu hata kidogo kwenye sekta yeyote
 
Kufanya biashara Tanzania kwasasa uwe kichwa ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…