Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mpiga picha :mwalimu mkuu, ntakuchaji shilingi 500 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size..
Mwalimu mkuu :mwalimu waambie wanafunzi walete shilingi 1000 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size..
Mwalimu :wanafunzi mnatakiwa kuleta shilingi 2000 kila mmoja kwa ajili ya passport size..
Nyumbani kwao mwanafunzi sasa..:Mama tumeambiwa tupeleke shilingi 2500 shuleni kwa ajili ya passport size...!
Mama :Mume wangu mtoto anataka shilingi 3000 kwa ajili ya zile passport size shuleni..
Kwa Hali hii unadhani ufisadi utaisha..?
Kati ya hao nani fisadi kuu ??