Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwa akili za waafrika hata mimi nikiwa kiongozi lazima niwe fisadi nyangumiMpiga picha :mwalimu mkuu, ntakuchaji shilingi 500 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size..
Mwalimu mkuu :mwalimu waambie wanafunzi walete shilingi 1000 kwa kila mwanafunzi kwa ajili ya passport size..
Mwalimu :wanafunzi mnatakiwa kuleta shilingi 2000 kila mmoja kwa ajili ya passport size..
Nyumbani kwao mwanafunzi sasa..:Mama tumeambiwa tupeleke shilingi 2500 shuleni kwa ajili ya passport size...!
Mama :Mume wangu mtoto anataka shilingi 3000 kwa ajili ya zile passport size shuleni..
Kwa Hali hii unadhani ufisadi utaisha..?
Kati ya hao nani fisadi kuu ??
ππππmkuu uzi wetu kule horizon deep vipiKwa akili za waafrika hata mimi nikiwa kiongozi lazima niwe fisadi nyangumi
Sasa mpiga picha wenzake wamekula jero jero yeye kala 250mpiga pasport size nae altakiwa kupga kwa sh. 250.
Ni mpigaji mkuu sio mtafutajiHapo kila mtu mtafutaji
Kama mke alivyokula kamba ya mumewekila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
πππMchawi hela hapo!
hapo sasa ulipoambiwa waamini wazazi wako tuu ukabisha.. ππHapo fisadi ni mama maana anaiba mpaka chungu chake
ni mwendo wa kupigana jero jeroMama anapewa 3000 na baba.
Kisha anampa mtoto 2500.
Mtoto anampelekea mwalimu wake 2000
Kisha mwalimu anakadhibisha 1000 kwa mwalimu mkuu.
Na mwalimu mkuu anapeleka 500 kwa mpiga picha.