Ufisadi wa Benki ya Exim Bank ya China na wanaokula pesa zao

Ufisadi wa Benki ya Exim Bank ya China na wanaokula pesa zao

ugwenousangi

Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
98
Reaction score
29
Hivi kuna ukweli gani kuwa hii benki ya China imewaweka kwenye mifuko yao karibuni watoa maamuzi wote pale wizara ya fedha?

niliona thread ilianzishwa hapa na majina ya wanaokula pesa za Exim Bank yalitajwa lakini naona imechakachuliwa na moderators wa JF
 
Kama walivoichakachua yao..
Hata hivo cna umani kabsa na hawa mods..
 
Back
Top Bottom