Hivi kuna ukweli gani kuwa hii benki ya China imewaweka kwenye mifuko yao karibuni watoa maamuzi wote pale wizara ya fedha?
niliona thread ilianzishwa hapa na majina ya wanaokula pesa za Exim Bank yalitajwa lakini naona imechakachuliwa na moderators wa JF