Ufisadi wa CCM na Kujitanua kwa Clouds FM!

Kama hiyo radio imeamua kutangaza wanachotangaza wala sina shida na hilo. Linalonisumbua ni aina ya ufadhili ambao radio inauopata lutoka kwa CCM. Je, ni wa kifedha, vifaa, utaalamu wa watu? nataka kujua hivi kwa sababu hata kwa asiye mwana CCM, bado chama hicho kinapata ruzuku kutokana na fedha za walipa kodi wote, hivyo ni vema tukafahamu fedha zetu zinatumikaje
 
Kuna uwezekana mimi au wewe mmoja wetu akili yake haiko sawa juu ya ufahamu wa neno 'news alert'. Ngoja niwasiliane na bakita pengine walinipotosha!


..tetesi..sounds good.. C news alert hii. It aint NEWS at all.!!
 
Wewe usiwe pumbavu wa dunia. Mbona husemi radio na magazeti yanayo shabikia chama chako cha kichaga?unadhani watu hawaoni au hawajui au unataka kila kitu watu waandike kama wewe unavyotaka kubainisha hap?Jengeni Chama cha Chadem ndani kuna mgogolo wa kufa mtu acheni kujidanganyaaa!
 
Wewe ni mpuuzi! Justify huo uchaga na huo mgogoro! CDM kuna mgogoro kuliko *******? Una akili timamu wewe? Usilete upimbi humu!
 
Mapovu yanakutoka mpaka unakosa busara na hekima, pole sana, kunamaslahi hapo? au wewe ndio mmiliki wa hako ka radio?
 
Mkuu ushauri mzuri sana huu. Kwa anayeijua clouds/mawingu ilikotoka atawaonea huruma kama watajihusisha na siasa ambazo zinaweza kuwapeleka kuzimu. Najua walianzia kwenye birthday party, wakaja house party, wakasonga mbele na kujikita kwenye discoteque hadi sasa wana radio na tv. Wasicheze na siasa kama kweli wanajiingiza kwenye siasa. Bifu lao na Sugu si hali njema katika ustawi wao.

Kila jambo linawezekana manake jamaa sasa wansikika Tanzania nzima na wamejitanua kwa muda mfupi ghafla.

Kibonde nanapata vitenda vya kuwa msema chochote huko serikalini sasa asije akawa anatumia Clouds kwa maslahi yake!
 
mby mjn walisema iz frequence za wafu ziondoke pa1 na fiesta yao la sivyo watawasaidia kutoa !
Hivi suala la msaada wa Rais kwa wana bongo flava limeishaje? Nilisikia Rais alitoa vyombo vya music kwa wanabongo flava lakini vikanyakuliwa na THT. Kanchi haka bwana katamu kweli hasa ukikapatia.
 

matusi ya nini wewe kenge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…