Hatuwezi kuuona ukweli wakati mada imeletwa hapa kisiasa badala ya ki-Hasibu. Kwa Wahasibu au wakaguzi wa hesabu huwezi kumkamata mtu mwizi bila vielelezo na ndio maana tunasema tarakimu pekee haitoshi kusema fedha iliyotumika ni nyingi au ndogo. Nani kasema wote hapa JF ni wanasiasa kila mtu na fani yake.
uongo ni upi hapa bitimkongwe?
Uongo ni wa huyo Wozoza aliyeweka hiyo picha ya huyo dada na kuunganisha na matumizi ya ikulu, kitu ambacho hana uthibitisho nacho.
Pili, kama walivyotangulia wengine namba ya bilioni 29 tu isiyokuwa na viambatanisho wala cho chote haiwezi kufanyiwa tathmini kwamba ni matumizi mazuri au mabovu.
Kuna gharama sana kuweka maintainance ya mambo kama haya!
Kwa upande wa Dr Slaa haya tumesema ni mambo binafsi lakini kwa Kikwete ni mambo ya umma. Wanaokosa sera wataendelea kukosa ushindi daima. Katika siasa za Tanzania mambo ya akina Eva hayana mshiko wala kipaumbele. Nipe mfano wa jambo lililowahi kutokea likaathiri uchaguzi kwa tamaduni za Afrika.... hakuna. Dk. Slaa alipotangaza na kukiri kumwacha mke wake wa siku nyingi Rose Kamili ingekuwa Ulaya angekosa kula nyingi za akinamama kwa hapa Tanzania sina jibu lake.
kwa hiyo wewe unaamini kuwa ikulu yaweza kufanyiwa ukarabati kwa bilioni 29? Hili ni swali nakuuliza wakati nikisubiria mwanzisha mada alete namba za kulinganisha.
Kimsingi, IKulu naijua kwa nje tu huko ndani sijawahi kufika hivyo sina budi kuamini ukarabati wa bilioni 29 kwa sababu hata thamani ya Ikulu nzima/yote siijui. Wengi tunaizungumzia thamani ya Ikulu wa mtazamo wa nje kama mimi. ndio maana tunasema hizi ni propaganda za uchaguzi mkuu pasipo viambatisho vya kusaidia maelezo ya mtoa hoja. Ni makosa kudhani kwamba kila mtu ni mwanasiasa aaaaaaaaha wapi kuna wataalamu wa mambo ya fedha hawahitaji bla bla bla
Uongo ni wa huyo Wozoza aliyeweka hiyo picha ya huyo dada na kuunganisha na matumizi ya ikulu, kitu ambacho hana uthibitisho nacho.
Pili, kama walivyotangulia wengine namba ya bilioni 29 tu isiyokuwa na viambatanisho wala cho chote haiwezi kufanyiwa tathmini kwamba ni matumizi mazuri au mabovu.
Hata kama matumizi ni sahihi, lakini kweli ni priority? Hizo bilioni zingeweza kuwakomboa watanzania wengi sana kutoka kwenye lindi la umaskini na maradhi, think in that direction guys!!
Ataweweseka.........
jamani huyu ni nani??Kuna gharama sana kuweka maintainance ya mambo kama haya!
jamani huyu ni nani??
Uongo ni wa huyo Wozoza aliyeweka hiyo picha ya huyo dada na kuunganisha na matumizi ya ikulu, kitu ambacho hana uthibitisho nacho.
Pili, kama walivyotangulia wengine namba ya bilioni 29 tu isiyokuwa na viambatanisho wala cho chote haiwezi kufanyiwa tathmini kwamba ni matumizi mazuri au mabovu.
Ndo namna ya kuila nchi jamani akale wapi?
Alafu kwa hasira wamempunguzia CAG budget ili apunguze unoko wake
ina maana watu hawataki kutuambia huyo hapo kwenye picha ni nani kwa kuwa wanaogopa ban?...basi kama vipi muwe mnatu pm
Hivi mnafikiri ule mji unaochipuka kama uyoga pale Chalinze una mfadhili gani?