Ufisadi wa kutisha Sekta ya Utalii

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
Hawa IPPMEDIA kama wameshindwa kuiendesha web site yao ni bora waifunge kuliko kuendelea kuweka habari ambazo hazifunguki.

Posted Sun, April,12 2009
Source Nipashe
Ufisadi wa kutisha umefichuliwa kwenye Sekta ya Utalii nchini, ambapo unawahusisha baadhi ya wafanyabiashara wa Kitanzania wenye asili ya Asia kwa kushirikiana...
» Habari Zaidi
 
Mbona imekaa ki-racism racism?
 
When it comes into seriousness in 'maintaining' the website,count IPP Media out of this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…