Ufisadi wa Wakenya unawapeleka kubaya

Ufisadi wa Wakenya unawapeleka kubaya

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
32,246
Reaction score
31,176
Tenki la maji liilojengwa kwa kulipua limelipuka siku chache kabla ya ufunguzi. Mkandarasi keshakunja mihela yake kibindoni. Rushwa imekithiri.

 
I worked with Kenyans lakin hawa watu sione neno nzuri la kuja describe, but ni walaghai wazuri wanaongea kingereza sana with confidence lakin mara nyingi wanaongea non sense, ni mwezi wazuri sana na wakianza kuiba hawataki mtu mwingine to step in afanye kama wao au awakataze. Na Kenya sijui mwisho wake ni UPI mpaka waje kuwa na viongozi stable and serious na kuwafanya wananchi wao wawe wawajibikaji. Very sad in Kenya
 
Screenshot_2020-06-13-20-19-43-617_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-06-16-19-16-55-390_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-06-13-20-19-43-617_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-06-16-19-16-55-390_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_2020-06-16-19-16-39-974_com.facebook.katana.jpg
 
Back
Top Bottom