Kichuguu, nilipoenda kwenye web site ya gazeti la RM inaelekea kuna kitu niligusa na kuhamia kwenye gazeti la October 31, 2007 ambalo lilishawekwa hapa ukumbini. Ndiyo maana nimeomba habari hizi zifutwe kwa sababu ni za miezi 14 iliyopita na nina uhakika ziliwekwa na kujadiliwa hapa ukumbini. Samahani Mkuu