Tetesi: UFISAFI: RC Mghwira apinga maagizo ya Makamu wa Rais Mpango

CCM bhana! Kwa hiyo UVCCM wameanza na huyo mama kwa kuwa alipewa ukuu wa mkoa akiwa mwenyekiti ACT? Wakimaliza ya huyo mama who is next!
 
Chafuaneni wew, lumbaneni weee, chukianeni..... Huu ndio utamaduni rasmi wa CCM na watu wake.
Chuki, fitna, majungu na roho mbaya
Ile yenu ya kula pesa za wabunge na ruzuku ni jadi yenu pia?
 
Character assassination....acha kumchafua Mh.Mgwira.
 
Member wa leo leo na umeshajua namna ya kupost uzi? hapa kuna walakini
Ni vile tu leo ni holly friday: ningekushia kilo moko la πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…