ufitini

mapesi masami

New Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
1
Reaction score
0
mke wangu hapatani na wifi yake nifanyeje ili wapatane?kisa mke wangu alibananishwa na baba ikabidi aseme ukweli kuhusu alichokifanya wifi yake.
nisaidieni.
 
kwanza hujambo....karibu JF
 
ufitina ni suuuumuuuu ya mapeeenziii.................
 
marahaba kijana... ongea na mmoja mmoja(mkeo, dada na baba).. afu waweke kitimoto wote na kikako kisiishe hadi mwafaka upatikane!! japo nahisi mkeo alisalimu amri kwa sababu kabanwa na mkwewe....!!
 
alifanya nini. weka jambo bayana ili ijulikane wapi pa kushauri vipi
 
kubabanishwa ndo kufanya nini? :confused2:
 
mke wangu hapatani na wifi yake nifanyeje ili wapatane?kisa mke wangu alibananishwa na baba ikabidi aseme ukweli kuhusu alichokifanya wifi yake.
nisaidieni.

Mkuu mapesi masani:

kisa unakifahamu, sasa unataka msaada upi?
 
asante baba enock..................so wifi alikuwa na kisiri chake , mke wa jamaa akakisema kwa bamkwe au?
 
asante baba enock..................so wifi alikuwa na kisiri chake , mke wa jamaa akakisema kwa bamkwe au?

pole sana Dada/Kaka Gaijin

naona unajitahidi sana kuelewa hili ushauri, lakini ndio hivyo, mtu anaomba ushauri bila kuweka detailz nz kisha anaingia mitini
 
ndugu mapesi karibu sana JF tunakuomba uandike topiki yako kwa urefu ili upate kusaidiwa mawazo

Funzadume
Mkuu wa dawati la ufundi-JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…