Kumekuwa msikilizaji mzuri wa ufm kwa baadhi ya vipindi vyake. Niliamua kupunguza vipindi vya kusikiliza baada ya kugundua kuwa wana uchawa mwingi sana.
Niliendelea kusikiliza vipindi vya mziki wa zamani siku za alhamisi na jumamosi.
Jana ikiwa ni boxing day na tukiwa bado katika msimu wa Xmas, zilipigwa nyimbo nyingi za Super volcano chini ya gwiji Mbaraka Mwishehe Mwaruka. Ajabu mtayarishaji na mtangazaji alikwepa kabisa kupiga wimbo wake maarufu sana wa Krismas! Je unajua ni kwa nini hakupiga?