Ufoo saro:sitaki tena mapenzi

Ufoo saro:sitaki tena mapenzi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wakati watanzania wengi wakisubiri taarifa kutoka kwa ufoo saro juu ya mkasa ulioikumba familia yake, na kumpoteza my number one wake pamoja na bi mdanga wake bi anastazia saro,bi shosti huyo kaapa kutozungumzia chochote kuhusu tukio hilo wala ugomvi wao na the late husband wake na kusema hiyo itabaki kuwa siri ya maisha yake hadi kifo kitakapomkuta,super star uyo ambaye nyota yake imewaka ghafla alienda mbali na kusema kuwa hataki kusikia chochote kuhusu mapenzi kwa sasa na hatak kujiingiza uko kabisaa.
 
Nani amuoe huyo? Labda anayetaka kurithi nyumba ya marehemu aliyodhulumiwa. Kakomaa...mwanamke hana hata huruma! Mh!

unashangaa nini wakati most of womens ndio roho zao zilivyo hawana hata chembe ya huruma!!!
 
Machame kashadaka mali aoelewe ili iweje
 
mapenzi hayaepukiki hizo ni kauli tu kuoenya ni kiasi ameumizwa na jambo lilitokea!
 
mapenzi hayaepukiki hizo ni kauli tu kuoenyasha ni kiasi ameumizwa na jambo lilitokea!
 
Labda akafunge ndoa za lazima kwa Getrude Rwakatare kama yule bibi wa miaka 60. Roho ya paka.
 
Kuna text nimetumiwa whatsapp kama Ni kweli huyu bidada fada hafwai hata chembe, mh....
 
unaitaj uwe na moyo wa simba kumtaka huyu dada kimapenzi!!! mushi tunakukumbuka sana ingawa ulikosea unge make sure tu na yakichwa moja ndo na wewe ungejimaliza ingekua fundisho!!!
 
Hayataki mapenzi kwani alikua nayo? Hata atangaze kutafuta mpenzi kama tangazo la kazi na mshahara mnono, sidhani kama atapata mtu
 
kuolewa hata olewa kwan hakuna wa kukubali kwenda kufa, ila wa kumpenyezea wapo. na watapenyeza sana tu
 
Tatizo Ufoo hajasababisha janga kwa sababu ya mapenzi,Tukio zima lilikua limegubikwa na utapeli wake ,Labda aache utapeli ndo ata survive,
 
Ingekuwa sahihi kama angesema sitaki tena utapeli au dhuluma kwa sababu ndio tabia yake lakini mapenzi hakuwa nayo wala hayajui atayakataaje mwehu nini huyu
 
Back
Top Bottom