Ufoo saro:sitaki tena mapenzi

Ah wapi! Tangu lini mti ulikataa mizizi yake isizame ardhini?
 
Ukimwoa unatakiwa unatakiwa ujihami muda wote na usiwe na usingizi wa pono. Anatisha.
 

Vipi akijiskia hamu ya kugegedwa??? Au ana test tubes za kutosha?
 
Nani amuoe..mtu mwenyewe sura nguuumuuuu ukichanganya na utapeli wake basi anazidi kuwa mbaya
 
kumbe ndio huyuuu,atangaze tenda tuu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Atakayemuoa awe anatembea na hati za mjengo kwenye begi!
 
Mtoa mada sijakupata vizuri.AMESEMA AU UMEMSEMEA.
ila watu wanahukumu utadhani wamemfunga CCTV mdada Ufoo.........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…