Ufoooo Sarrrrooo

An Unidentified Flying Object (UFO)??..nikilripotio kutoka hapa Arumeru Mashariki.....ni mimi. UFO SAROOOOOOO WA ITV.

Kama George Mvaa viatu (George Maratu)
 
Ufoo Ssaroo...She is very good in reportind especially Political news.Anajitahidi lakini kama mdada...Big Up to her.Ila atapotea pale tu atakapoahamishwa na kuletwa mkjini...
 
Wakuuwa ItV kama mtasoma hapa naomba huyu dada apewe Tuzo!!!!!!!!!!!au mpaka wananchi wenyewe tuandamane
ili apate,tena jani huwa anaripoti akiwa katikati ya mabomu ya machozi wkt mwingine
na hata kwa mwaka jana,kuonyesha njia nitaanza hata kwa kumpa Zawadi kidogo kutambuamchango wake
Ufooooooooooooo Saroooooo we do love you mamaa,wewe JEMBE safi sana!NITAKUTAFUTA DADA YAKO TICHA.
 
Haya na mimi nimempenda zaidi, ingawa nilianza kummack tangu kwenye kipima joto, high
respect dada ,chapa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…