Mzuri wewe sikiliza,
Ukiweza mpe Pm Kanyagio/mwalwisi.
Mimi nina plan ya kwenda shamba darasa na Kanyagio kwa mdada mmoja, ili pamoja na mambo mengine nikaibe/nikachote vitu fulani kwake. Nilipoamua kufanya shughuli za kilimo, niliacha nadharia kwenye makabati na kwenda kuwaona dealers kwa vitendo. Niligundua vitu vingi huko ktk ziara zangu, kimojawapo ni hiki, maelezo/nadharia baada ya kuona hujaza zaidi ufahamu.
Sio kwamba sifugi kuku wa kienyeji, ila siku zote nahisi nataka kujifunza zaidi.Ukifika shamba darasa utapata vyote at a time. Haya ni mawazo yangu kwa leo.