Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
CAREER TIMES LTD wameandaa semina ambayo imelenga wafugaji wa kuku wa nyama, kuku wa mayai, kuku chotara,bata na kuku wa kienyeji.
Dhumuni la semina hii ni kuwafundisha wafugaji wa kuku njia ya kupunguza gharama za ufugaji kwa kutengeneza vyakula vya kuku na bata.
Semina itaunganisha na maonyesho ya aina mabalimbali za vyakula vya kuku na bata zikiweno machine ya kutoresha mayai, na vifaa vya kuchnganyia chakula. Washiriki pia wamepewa nafasi ya kuonyesha bidhaa pia. Hivyo endapo ungependa kuonyesha bidhaa zako tafadhali wasiliana na ofisi za Careetimes LTD au piga number 0655948888 ili maandalizi ya nafasi ya kuweka bidhaa zako yaweze kufanyika kabla ya siku ya semina.
Semina na maonyesho itafanyika siku ya ijumaa ya Tar 2.12.2017 kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi saa 12:00 jioni. Kutakuwepo na chakula kwa washiriki wote.
Fanya booking sasa kupita link www.lifeselichick.com/semi.php
Lifeseli Chick|Kuku wa Nyama|Kuku wa mayai|Kuku wa Kienyeji|Tiba|Chakula|Elimu