Wakuu,
Ninaishi nyumba ya mfukoni (kupanga)-DSM,
Mwenye nyumba wangu ana eneo kubwa ambalo binafsi naona halitumii ipasavyo. Nafikiria kuteta nae anipe mita chache za mraba ili nianzishe mradi mdogo wa ufugaji kuku kwa itakuwa ni jirani na ninapokaa na usimamizi utakuwa rahisi na soko tarajiwa litakuwa jirani. Hii ni katika malengo ya kuwa na eneo kubwa zaidi, la kwangu mwenyewe ili niwe mkulima wa kisasa siku za usoni.
Kuna yeyote mwenye usoefu na kuwekeza katika mfumo huu?!
Msaada wenu ni muhimu sana..
Ahsante na nawasilisha.
kunatopic ndrgu sana juu hapo knye hili jukwaa kuhusu ufugaji ipitie kila kitu kipo hapo
unaweza kunishirikisha uzoefu wako katika hali kama hii..?! najaribu kukwepa suala la umbali (kati yangu na mradi) kwa maana ya kupata urahisi wa kusimamia, kuhudmia na wateja wa mwanzo wapo jirani vilevile...!!nilidhani unakodi eneo la mbali, kumbe hapo hapo dirishani ulipopanga? DONT! ni ushauri wa bure.
unaweza kunishirikisha uzoefu wako katika hali kama hii..?! najaribu kukwepa suala la umbali (kati yangu na mradi) kwa maana ya kupata urahisi wa kusimamia, kuhudmia na wateja wa mwanzo wapo jirani vilevile...!!
pleaseee mkeshahoi..umeambiwa na wakubwa zako achaaaa... Mie nawajua wenye nyumba wa dasalamu...ukianza kuingiza mia tuu akajua...kodi inapanda maradufu au hata mara tatu... Mara utaambiwa harufu ya kuku inatukera hatulali vizuri ukimaliza kuku hawa bomoa banda lako tunataka kujenga mtoto wangu anarudi nyumbani...mara unaskia na yeye anafuga kuku kisa kaona wewe unapata sanaaa.. Mara unapandishiwa bili ya umeme mara maji...yani balaa juu ya kerooo na matatizo juu ya problems...achaaaaa. Pleasee
Ahsante Mkuu... Nimekusoma..PLEASEEE mkeshahoi..umeambiwa na wakubwa zako ACHAAAA... mie nawajua wenye nyumba wa dasalamu...ukianza kuingiza mia tuu akajua...kodi inapanda maradufu au hata mara tatu... mara utaambiwa harufu ya kuku inatukera hatulali vizuri ukimaliza kuku hawa bomoa banda lako tunataka kujenga mtoto wangu anarudi nyumbani...mara unaskia na yeye anafuga kuku kisa kaona wewe unapata sanaaa.. mara unapandishiwa bili ya umeme mara maji...yani balaa juu ya kerooo na matatizo juu ya problems...ACHAAAAA. PLEASEE