Ufugaji kuku sio mwanzo wa utajiri pekee, unaweza ukawa mwanzo wa umasikini wa uhakika. Zingatia yafuatayo ili upate mema kupitia kuku


Kwa watakao hitaji chakula bora kwa sasa cha backbone link hii hapa
https://chat.whatsapp.com/IU2IPPxiRBo5MY0RbwjMSF
 
Mkuu aina hii ya chakula inafaa pia kwa kuku wa kienyeji?
Binafsi ndio naanza mtaji mdogo tu wa matetea 15 na jogoo moja, mpaka sasa nimeshajenga mabanda na sehemu zake za kutagia + mabanda ya kukuzia vifaranga. Je inafaa kuwaanzishia aina moja wapo ya hivyo vyakula?
Au kama una ushauri wa aina yeyote naomba tafadhari
 
Umefafanua vizuri sana, wengi wanaishia kukata tamaa wakiingia katika ufugaji huo na kukutana na tofauti na matarajio
 
Umefafanua vizuri sana, wengi wanaishia kukata tamaa wakiingia katika ufugaji huo na kukutana na tofauti na matarajio
Nataka niingie kuanzia mwezi ujao na mabanda nimeshatayarisha mkuu. Ndiomana nafuatilia sana nisije nikakosea especially kwenye swala la chakula na chanjo
 
Ufugaji wa kuku ni pasua kichwa, usipokuwa mwangalifu utaishia kuwa mtu wa kudaiwa tu kila kukicha!!
 
Nataka niingie kuanzia mwezi ujao na mabanda nimeshatayarisha mkuu. Ndiomana nafuatilia sana nisije nikakosea especially kwenye swala la chakula na chanjo
Unataka ufuge aina gani ya kuku??
 
Hivyo vyakula vinafaa kwa kuku aina yoyote, kwa kuwa unaanza na kuku wa kienyeji sikushauri sana utumie hivyo vyakula vya viwandani kwa asilimia mia. Ni bora ukaandaa chakula chako mwenyewe kama upo mikoa ambayo ingredients za kutengeneza vyakula zinapatikana......
 
Silverlands ana chakula bora na ubora wake ulikuja kwa sababu hatumii dagaa badala yake anatumia soya. Lakini nadhani walijisahau hivi sasa chakula chao sio kizuri kabisa kama zamani. Hivi sasa kwa sisi wafugaji wa muda mrefu tumehamia kwa vyakula vya HILL company.
 
Inawezekana mkuu, Nina miaka 2 nje ya industry ntaporudi mwakani ntajaribu hicho chakula.Ila kama kweli hivyo vyakula ni bora basi vingesambaa na mikoani.
Silverlands nadhani walibweteka bila kufuatilia customers wao kama wako satisfied au vipi.........nakumbuka kuna kipindi ilibidi turudishe chakula kiwandani kwao, maana tunalisha kuku wakashusha uzalishaji wa mayai.
Kusambaa mikoani ni kutokana na wazalishaji wenyewe hawana misuli ya kuzalisha chakula kwa wingi namna hiyo. Soko tu dogo walilonalo kwa sasa ni kama linawashinda....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…