Ufugaji kuku wa kisasa

Ufugaji kuku wa kisasa

Strong25

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
394
Reaction score
834
UFUGAJI WENYE TIJA

HABARINI WAKUU
#natumai mko njema kabisa _najua humu kuna watu wenye uzoefu mkubwa sana kwenye swala la ufugaji kuku (tamu na chungu

natamani sana kuanza ufugaji wa kuku ila sijui chochote kuhusu kuku (target yangu nihawa wanaita kuku wa kizungu)__yan sio wakienyeji mana hao wanachelewa sana.

Kufahamu nikuku gani wako sokoni_garama za uendeshaji _changamoto zake_soko lake lipoje _vitu gani vyakuzingatia

NAOMBA WAJUZI WAMAMBO HAYO
 
kisasa mayai au nyama?

umejipangaje kifedha idadi ya kuku na miundo mbinu.

umejipangaje kwenye swala la lishe na tiba.

mazingira unayohitaji kufugia yapoje.

jibu hayo alafu tuendelee naamini jinsi utakavyo jibu utakua unajipanua akili mwenyewe
 
Kuna wakizungu pure kama wa mayai nyama/ broiler
Pia Kuna Hawa chotara
Fano kroiler,sasso,Malawi nk Hawa nao ni wazuri kibiashara kwani wanajua haraka.

Jibu comment no1 then urejee tukupe mbingu mkuu
 
Kabla ya KUANZA kufuga, unapaswa kuwa na Elimu bora na sahihi ya ufugaji.
Inayo husisha. lishe, malezi na magonjwa Tu basi.

Ukiyajua hayo ninakuruhusu uanze ufugaji.
 
Back
Top Bottom