HABARINI WAKUU
#natumai mko njema kabisa _najua humu kuna watu wenye uzoefu mkubwa sana kwenye swala la ufugaji kuku (tamu na chungu
natamani sana kuanza ufugaji wa kuku ila sijui chochote kuhusu kuku (target yangu nihawa wanaita kuku wa kizungu)__yan sio wakienyeji mana hao wanachelewa sana.
Kufahamu nikuku gani wako sokoni_garama za uendeshaji _changamoto zake_soko lake lipoje _vitu gani vyakuzingatia
Kuna wakizungu pure kama wa mayai nyama/ broiler
Pia Kuna Hawa chotara
Fano kroiler,sasso,Malawi nk Hawa nao ni wazuri kibiashara kwani wanajua haraka.