Ufugaji kuku

Ufugaji kuku

NUNEZ DIAZ

Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
85
Reaction score
115
mambo vp ndugu...nataka kuanza biashara ya ufugaji kuku wa kienyeji kama kuna mtu ana experience na hii kitu anajuze jinsi ya kuwakinga kuku katika magonjwa dawa zipi za kutumia
 
@MAY ZEPHAR pitia hizo sticky hapo juu kwenye hili jukwaa la ujasiriamali, kuna kama uzi mbili hivi za kuku wa kienyeji, ukizisoma zote ukamaliza utajifunza mengi sana na ni darasa tosha kuanza kufuga mwenyewe,hizi hapa:

@Biashara ya Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na Masoko yake

@Unataka kuwa tajiri? - Mwongozo kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji

@Zijue Mbinu zangu: Ufugaji Kuku wa Kienyeji

@Ufugaji Bora na Rahisi wa Kuku wa Kienyeji (Kuku


pitia nahii web ya mkulimambunifu

www.mkulimambunifu.org/?p=429


www.mkulimambunifu.org/?p=283

hizi thread nzuri sana ,ni articles lakini jaribu kupitia comments za watu, wanaulizana na kujibu maswali.

google pia itakupa vitu flaniflani useful kama vitabu free, na artcles nyinginezo, goodluck
 
Back
Top Bottom