mambo vp ndugu...nataka kuanza biashara ya ufugaji kuku wa kienyeji kama kuna mtu ana experience na hii kitu anajuze jinsi ya kuwakinga kuku katika magonjwa dawa zipi za kutumia
@MAY ZEPHAR pitia hizo sticky hapo juu kwenye hili jukwaa la ujasiriamali, kuna kama uzi mbili hivi za kuku wa kienyeji, ukizisoma zote ukamaliza utajifunza mengi sana na ni darasa tosha kuanza kufuga mwenyewe,hizi hapa: