Ufugaji na kilimo unalipa sana

safi sana mkuu
Nakubaliana nawe, ukiwekeza kwenye kilimo & ufugaji kwa umakini kuna faida. Hongera sn mkuu.....
 
Mkuu hongera Sana.. Una wa kuuza? Mie nahitaji niko Mwanza, nijulishe tafadhali.

 
Hakika jamaa yuko vzr mno!! Nimecheki Instagram yake!! Hii ndio maana y kanyaga twende piga KAZI kiongozi.
 
Nipe ajira hapo shambani
 
Kama sio mfugaji wa nguruwe aliefanikiwa zaidi Tanzania basi ni miongoni mwa wafugaji wa 5 waliofanikiwa zaidi Tanzania

Heshima kwako mkuu
 
Duh Uzi wa miaka kumi iliyopita Toka 06/01/2014 lkn kama wa Leo tarehe 26/08/2024 Atari

Ee Mungu nisaidie na mimi niwe kama wao 🙆
 
Huyu jamaa ni ushuhuda tosha, ukiangalia alianza kufuga santula saizi ana mbegu toka France huko high breed za heshima. True son of the land.
 
Hii inadhiilisha kadili unavyopambana ndivyo unapata maarifa ambayo wengine hawana na hii ndio mafanikio
 
Duh Uzi wa miaka kumi iliyopita Toka 06/01/2014 lkn kama wa Leo tarehe 26/08/2024 Atari

Ee Mungu nisaidie na mimi niwe kama wa

Duh Uzi wa miaka kumi iliyopita Toka 06/01/2014 lkn kama wa Leo tarehe 26/08/2024 Atari

Ee Mungu nisaidie na mimi niwe kama wao 🙆
Amiin ndo nmeusoma Leo kumbe ni miaka 10 imepita abarikiwe Sana kanipa motisha pia maana napenda kilimo Sana ntajitahidi 2025 uwe mwaka wangu kwenye kilimo na ufugaji
 
Huku Dodoma kama uko vizuri,kila zao linakubali maji Yako tuu(Kuchimba visima).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…